Posts

Showing posts from 2011

DAWA YA MAAJABU INAYO TIBU KUPOOZA YAPATIKANA.

Image
Tiba ya maajabu inayotibu wanamichezo Na Mwandishi Wetu KWA muda mrefu tiba mbadala ilikuwa ikipewa kisogo au kuonekana kama ya watu fulani ambao hawakwenda shule na wanaoamini mno katika mambo ya ushirikina. Lakini mabadiliko ya sayansi na teknolojia, pamoja na chunguzi mbalimbali za mabingwa wa syansi,bado magonjwa kadhaa yameshindwa kupata suluhisho la kudumu. Wengi wameishia kujikuta wanapata ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha, kutokana tu, tiba za kisasa kushindwa kuwapa ufumbuzi zaidi ya kuambiwa wasubiri miujiza tu kwa kupona kwao. Tumeshuhu

DAWA BORA YA NGUVU ZA KIUME.

Image
Ukosefu wa nguvu za kiume Baadhi ya mambo yafuatayo husababisha tatizo hili kutokea. Dawa: Wakati mwingine tatizo hili husababishwa na matumizi ya baadhi ya dawa. Baadhi ya wanaume wa makamo huwa katika hatari ya kupata maradhi ya aina mbalimbali yanayowafanya wajikute wakitumia dawa za aina mbalimbali kwa wakati mmoja zinazoweza kuathiri nguvu za kiume.Hata hivyo, unapokuwa unatumia dawa na ukaanza kuhisi unapungukiwa nguvu za kiume, si suala la kuzilalamikia dawa hizo kwanza, isipokuwa unatakiwa kujaribu kuziacha na kusubiri kwa wiki sita uangalie kama tatizo hilo litakuwa limekwisha au linaendelea kuwepo.Inakadiriwa kuwa asilimia 25 ya wanaume wenye tatizo hili, husababishwa na matumizi ya dawa. Magonjwa: Magonjwa mshipa ya damu hasa ile ya arteri inayopeleka damu safu kwenye uume huasababisha tatizo huli. Pia magonjwa kama shinikizo la juu la damu, ongezeko la cholesterol mwilini, ugnjwa wa kisukari, na uvutaji sogara kupita kiasi, huchangia kutokea kwa tatizo hili.Matatizo ya mish

DAWA BORA YA KUONGEZA CD4 YAPATIKANA

Image
AZOX DAWA YA KUONGEZA KINGA MWILINI NA CD4 AZOX ni dawa ya kuongeza CD4, inatokana na mchanganyiko wa miti aina ya NGUMO na NTOBO.Virusi vya Ukimwi (VVU) hudhoofisha nguvu za mwilikujikinga na maradhi nyemelezi. Mgonjwa hushambuliwa na maradhi kwa sababu kinga mwilini imepungua. Azox husaidia kuongeza kinga mwilini na kupunguza makali ya Ukimwi. ZINGATIA;Siyo watu wote wenye maambukizi ya Ukimwi wanalazimika kuanza kutumia lishe ya kuongeza CD4 na kupunguza makali ya Ukimwi.Utaanza tu kutumia kwa kutegemea hali ya afya yako, idadi ya hembechembe za CD4. AZOX NI NINI ? Ni dawa zenye uwezo wa kupunguza makali ya VVUmwilini. Huongeza kinga mwilini na kumpa mgonjwa nafuu kwa kumpa nguvu ya kufanya shughuli zake kama kawaida. Ikiwa kinga itapungua sana na kuanza kushambuliwa mara kwa mara na maradhi nyemelezi, unashauriwa uanze kutumia AZOX. Baada ya kufanya majaribio kwa muda mrefu sasa yaonesha mafanikio 90% itakufanya uwe na nguvu kwa muda mfupi sana mwenye afya njema . Itumie sasasa wen

DAWA MPYA YA KISUKARI KWAAJILI YAKO

Image
IJUE SAMOX DAWA YA KUTIBU KISUKARI (DIABETES) Kisukari ni hali inayotokea wakati sukari inapozidi ile inayotakiwa katika damu kwa sababu ya upungufu au ukosefu wa insulin.Insulin ni kichocheo kinachotengenezwa kwenye kongosho na kwamba hutumika kusaidia mwili kutumia sukari inayotokana na vyakula tunavyokula. Aina za kisukari Kuna aina kuu mbili za kisukari; Kwanza ni kisukari kinachotegemea insulin.  Insulini ni aina ya homoni inayozalishwa na kongosho. Kazi a Insulini ni kurekebisha hali ya sukari kwenye damu, ikiwa ni nyingi inapunguzwa kurudi kwenye hali ya kawaida na ikiwa chache huruhusu irejee kwenye hali ya kawaida pia.Kunapokuwa na hitilafu kongosho likazalisha homoni hii kwa wingi, sukari hupungua mwilini, au isipozalishwa, sukari huongezeka mwilini.Hospitalini, aina hii ya sukari inatibiwa kwa kutumia sindano za insulin na kurekebisha ulaji wa vyakula. Pili ni kisukari kisichotegemea insulini. Haspitalini hiki hutibiwa kwa kutumia vidonge pamoja na kurekebisha ulaji wa v