MLONGE NIDAWA NZURI SANA, INATIBU MAGONJWA ZAIDI YA 300
 Mlonge ni mti maarufu sana Duniani kote hata hapa kwetu Tanzania husussani mkoa w Kigoma. Wao hutumia kama dawa ya kuteguka, maumivu ya mwili au miguu, tumbo na hutumika zaidi kwa matumizi ya kivuli. Ziko aina nyingi za mti wa Mlonge, lakini zinazofahamika sana ni zile aina saba za mlonge zilizo maarufu kati ya 13 zilizopo ; Mlonge Drouhardi – Madagascar Mlonge Longituba – Ethiopia Mlonge Ovalifolia – Angola na Namibia Mlonge Concanensis – Inayostawi zaidi India na katika nchi za Afrika Kaskazini. Moring Stenopetala – Inayostawi zaidi katika nchi za Ethiopia na kaskazini mwa Kenya Moringa Peregrina – Inayostawi zaidi Sudani, Misri, Syria (Peninsula) Uarabuni na Kaskazini mwa bahari ya Shamu. Mti wa Mlonge hutibu Magonjwa mengi sana yanayomsumbua binadamu na baadhi ya Magonjwa hayo ni kama ifuatavyo :- Kisukari Ugumba Tatizo la Figo Tatizo la Moyo kuwa mkubwa Kupata maumivi unapokutana na Mwanamke/Mwanaume Mapele sehemu za siri Tatizo la Miguu na Magoti Maumivu y