Posts

Showing posts from August, 2011

DAWA YA MAAJABU INAYO TIBU KUPOOZA YAPATIKANA.

Image
Tiba ya maajabu inayotibu wanamichezo Na Mwandishi Wetu KWA muda mrefu tiba mbadala ilikuwa ikipewa kisogo au kuonekana kama ya watu fulani ambao hawakwenda shule na wanaoamini mno katika mambo ya ushirikina. Lakini mabadiliko ya sayansi na teknolojia, pamoja na chunguzi mbalimbali za mabingwa wa syansi,bado magonjwa kadhaa yameshindwa kupata suluhisho la kudumu. Wengi wameishia kujikuta wanapata ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha, kutokana tu, tiba za kisasa kushindwa kuwapa ufumbuzi zaidi ya kuambiwa wasubiri miujiza tu kwa kupona kwao. Tumeshuhu