Monday, August 29, 2011

DAWA YA MAAJABU INAYO TIBU KUPOOZA YAPATIKANA.


Tiba ya maajabu inayotibu wanamichezo

Na Mwandishi Wetu

KWA muda mrefu tiba mbadala ilikuwa ikipewa kisogo au kuonekana kama ya watu fulani ambao hawakwenda shule na wanaoamini mno katika mambo ya ushirikina.

Lakini mabadiliko ya sayansi na teknolojia, pamoja na chunguzi mbalimbali za mabingwa wa syansi,bado magonjwa kadhaa yameshindwa kupata suluhisho la kudumu.

Wengi wameishia kujikuta wanapata ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha, kutokana tu, tiba za kisasa kushindwa kuwapa ufumbuzi zaidi ya kuambiwa wasubiri miujiza tu kwa kupona kwao.

Tumeshuhudia pia kwa sasa ugonjwa wa kupooza ukiwa ni tatizo kubwa mno na awali ulionekana ugonjwa huu kama unawapata watu wenye umri mkubwa au wale ambao hawazingatii mazoezi.

Mambo yamekuwa kinyume chake na kuna wanamichezo kadhaa maarufu nchini, ambao wameishia kutembea kwa kusaidiwa kutokana na kukabiliwa na ugonjwa huo.

Hapa kati tulishuhudia viongozi mbalimbali na wananchi wa kawaida wakikimbilia Loliondo, kwa ajili ya kupata tiba ya kikombe. Hii ni kuonyesha tiba mbadala ni tiba sahihi zaidi kwa sasa.

Mmoja kati ya wanamichezo, ambaye hakuamini macho yake pale alipokabiliana na ugonjwa wa kupooza kwa muda wa miaka 10 na sasa kupona ni John Raphael. Kwa sasa mwanamichezo huyu wa zamani anaishi Newala, Mtwara.

Wakati huo akiichezea timu ya Karume Rangers iliyopo Masasi, alijikuta akianza kuona dalili za mwili wake kupatwa na baridi na hiyo ilikuwa ni mwaka 2001.

"Kitu cha kwanza nilichofanya niliamua kukimbilia Hospitali ya Ndanda, iliyopo Masasi ambapo bada ya vipimo mbalimbali nikaambiwa nina dalili zakupata ugonjwa wa kupooza.

"Kuna dawa fulani wakanipa na wakaniambia nifanye mno mazoezi, lakini nakumbuka Novemba, mwaka huo nilipoamka asubuhi nilishindwa kuinuka.

"Mwili wangu wote ulikuwa auhisi chochote kile, ndugu zangu wakalazimika kunibeba na kunirudisha hospitali tena, hapo nikaambiwa nimepooza kabisa.

"Nikaambiwa nifanye sana mazoezi, lakini bado haikusaidia na nikatumia sana majani fulani ya kuchemsha halafu unapakwa, lakini mambo yakaendelea kuwa magumu zaidi," anasema.

Raphael anasema, siku moja alisikia habari za mganga wa tiba mbadala, Dk. Kihembe ambaye ofisi zake zipo Kawe, Dar es Salaam na kuamua kwendakujaribu bahati yake huko.

"Niliwalazimisha ndugu zangu na wakanibeba kutoka Newala hadi Kawe kwa Dk. Kihembe nashangaa kwa muda wa wiki moja tu toka nianze kutumia dawa zake, nikaona ubaridi unaanza kuondoka, huku nikianza kutembea mwenyewe bila kusaidiwa.

"Yaani kwa sasa ndivyo kama hivi unavyoniona, natembea mwenyewe bila tatizo na natamani sana kuanza kucheza mpira, Mungu ambariki zaidi daktari huyu," alisema.

Alipoulizwa Dk. Kihembe alisema mgonjwa wake huyo alikujaakiwa hoi, lakini anashukuru dawa zake zimefanya kazi na kulimaliza tatizo lililokuwa linamkabili.

"Unajua kwa sasa ugonjwa wa kiharusi umeongezeka mno na umewakumba watu wa aina mbalimbali, kuanzia watoto hadi wakubwa na utashangaa hata wanamichezo nao wanakabiliwa na ugonjwa huo.

"Tatizo hili linasababishwa na kuganda kwa damu mwilini kunakosababishwa na kuganda kwa mafuta kwenye mifupa ya damu na kwamba hali hiyo husababisha damu kushindwa kuzunguka katikamfumo wake," alisema.

Dk. Kihembe alisema amefanikiwa kuwatibu wagonjwa kadhaa na kujikuta akipewa zawadi za kila aina, ikiwemo mgonjwa huyo kumpatia gari.

Tunampa hongera Dk. Kihembe kwa mafanikio hayo na kutokana na hilo ni vema wananchi wakawasiliana naye kwa simu na; 0716 096205 kwa matibabu na ushauri au fika katika kliniki yake iliyopo Kawe Mtaa wa Ghuba au tembelea www.kihembehebalist.blogspot.com.

Tuesday, May 31, 2011

DAWA BORA YA NGUVU ZA KIUME.Ukosefu wa nguvu za kiume Baadhi ya mambo yafuatayo husababisha tatizo hili kutokea. Dawa: Wakati mwingine tatizo hili husababishwa na matumizi ya baadhi ya dawa. Baadhi ya wanaume wa makamo huwa katika hatari ya kupata maradhi ya aina mbalimbali yanayowafanya wajikute wakitumia dawa za aina mbalimbali kwa wakati mmoja zinazoweza kuathiri nguvu za kiume.Hata hivyo, unapokuwa unatumia dawa na ukaanza kuhisi unapungukiwa nguvu za kiume, si suala la kuzilalamikia dawa hizo kwanza, isipokuwa unatakiwa kujaribu kuziacha na kusubiri kwa wiki sita uangalie kama tatizo hilo litakuwa limekwisha au linaendelea kuwepo.Inakadiriwa kuwa asilimia 25 ya wanaume wenye tatizo hili, husababishwa na matumizi ya dawa. Magonjwa: Magonjwa mshipa ya damu hasa ile ya arteri inayopeleka damu safu kwenye uume huasababisha tatizo huli. Pia magonjwa kama shinikizo la juu la damu, ongezeko la cholesterol mwilini, ugnjwa wa kisukari, na uvutaji sogara kupita kiasi, huchangia kutokea kwa tatizo hili.Matatizo ya mishipa ya fahamu pia huchangia kutokea kwa tatizo hilo (neurological impotence). Matatizo ya mishipa ya fahamu yanaweza kusababishwa na maradhi kama ugonjwa wa kisukari au kujeruhiwa uti wa mgongo.Ugonjwa wa kisukari husababisha, utafiti unaoonesha kuwa karibia aslilimia 50 ya wagonjwa wa kisukari hupata tatizo la kukosa nguvu za kiume.Pia kansa ya glandi iitwayo Prostate ambayo huruhusu utolewaji wa mbegu za kiume inaweza kusababisha tatizo hili. Matatizo ya homoni: Matatizo ya utolewaji wa homoni zinazochochea hamu ya tendo la ndoa zinaweza kusababisha tatizo hili kutokea. Matatizo ya kisaikolojia. Utafiti unaonesha kuwa, asilimia 15 ya wanaume wanaopata tatizo hili, husababishwa na matatizo ya kisaikolojia. Wanaume wanaopata tatizo hili ghafla wakiwa na wenza wao au wanaopata tatizo hili wanapokuwa na mpenzi wa aina fulani na isitokee kwa mpenzi mwingine, wengi husababishwa na tatizo la kisaikolojia. DALILI ZAKE: Kushindwa kurudia tendo la ndoa Uume kuingia ndani kuwa mfupi Korodani moja kuvimba tumbo kuunguruma na kujaa gesi, kutojisikia hamu ya tendo la ndoa, maumivu ya kiuno na mgongo Baada ya kujichimbia kwa muda mrefu nchini Nigeria mabingwa wa tiba asilia wapo Dar es Salaam wakiwa na dawa yao bora na imara ya nguvu za kiume (OZYMIX POWER) upungufu wa nguvu za kiume husababishwa na (BACTERIA) ambao hushambulia mishipa iliyokatika uume na kuufanya ukose nguvu kufana kazi.PIA WANATAIBU :Miguu kuwaka moto Uzazi Nyota kurekebisha .nk Pia tunavyo V.O.P hii hurefusha uume nchi 5-7 kwa muda wa siku tatu .Haina madhara kwa watumiaji .(Wanawake ) Kazi Kwenu.Je una mchumba hajatulia? Anakudanganya kukuoa? Hakupi hela? Una tumbo kubwa? Una matiti makubwa? Unataka umbo namba 8?Si uchawi ni uwezo walionao tu.Wengi wamekubali AZOX : Hii ni dawa ya kuongeza CD4 Kwa watu wenye virusi vya Ulimwi .Baada ya kufanya majaribio kwa muda mrefu sasa yaonesha mafanikio 90% itakufanya uwe na nguvu kwa muda mfupi sana mwenye afya njema . Itumie sasasa wengi imewasaidia piga simu 0716 096205.Tupo Kawe mtaa wa Ghuba kwa Wamasai karibu na mnara wa Zantel kuna barabara inashuka chini bango lipo hapo Kihembe Herbalist Hospital. Namba ya simu ni 0756 726865. pia unaweza kuletewa popote ulipo Dar .Email : Kihembehebalist@gmail.com, Blog: www.kihembehebalist.blogspot .com.

DAWA BORA YA KUONGEZA CD4 YAPATIKANAAZOX DAWA YA KUONGEZA KINGA MWILINI NA CD4 AZOX ni dawa ya kuongeza CD4, inatokana na mchanganyiko wa miti aina ya NGUMO na NTOBO.Virusi vya Ukimwi (VVU) hudhoofisha nguvu za mwilikujikinga na maradhi nyemelezi. Mgonjwa hushambuliwa na maradhi kwa sababu kinga mwilini imepungua. Azox husaidia kuongeza kinga mwilini na kupunguza makali ya Ukimwi. ZINGATIA;Siyo watu wote wenye maambukizi ya Ukimwi wanalazimika kuanza kutumia lishe ya kuongeza CD4 na kupunguza makali ya Ukimwi.Utaanza tu kutumia kwa kutegemea hali ya afya yako, idadi ya hembechembe za CD4. AZOX NI NINI ? Ni dawa zenye uwezo wa kupunguza makali ya VVUmwilini. Huongeza kinga mwilini na kumpa mgonjwa nafuu kwa kumpa nguvu ya kufanya shughuli zake kama kawaida.


Ikiwa kinga itapungua sana na kuanza kushambuliwa mara kwa mara na maradhi nyemelezi, unashauriwa uanze kutumia AZOX. Baada ya kufanya majaribio kwa muda mrefu sasa yaonesha mafanikio 90% itakufanya uwe na nguvu kwa muda mfupi sana mwenye afya njema . Itumie sasasa wengi imewasaidia piga simu 0716 096205.Tupo Kawe mtaa wa Ghuba kwa Wamasai karibu na mnara wa Zantel kuna barabara inashuka chini bango lipo hapo Kihembe Herbalist Hospital. Namba ya simu ni 0756 726865. pia unaweza kuletewa popote ulipo Dar .Email : Kihembehebalist@gmail.com, Blog: www.kihembehebalist.blogspot .com. LISHE YA KUONGEZA KINGA MWILINI Kwa ajili ya kuongeza kinga mwilini tumia moja ya fomula nne za hapa chini:CD4 Fomula 1Vitu vinavyohitajika:Mbegu za figili (unga) - kijiko kimoja cha chakula.Haba Soda (unga) - kijiko kimoja cha chakula.Kitunguu thaumu (unga) - kijiko kimoja cha chakula.Asali - lita mojaSufa - kijiko kimoja cha chakula.Mdalasini (unga) - kijiko kimoja cha chakula.Matayarisho: Vitu vyote hivyo vichanganywe pamoja hadi viwe juisi.Matumizi: Kunywa vijiko vitatu vya chakula kutwa mara tatu. CD4 Additive Fomula 2:Vitu vinavyohitajika:Karoti 2Ndizi mbivu 2Pilipili mboga 2Chumvi kidogoNdimu 1Nanasi robo kiloNjegere robo kiloKunde mbichi robo kiloPapai bichi 1Karanga robo kiloEmbe kubwa 1Parachichi 1Matayarisho: Vitu vyote hivyo visagwe pamoja hadi viwe juisi.Matumizi: Kunywa glass moja kutwa mara mbili. CD4 Additive Fomula 3Vitu vinavyohitajika:Karoti iliyosagwa robo kilo.Kitunguu thaumu (unga) robo kilo.Mdalasini wa unga robo kilo.Tangawizi ya unga robo kilo.Majani ya Alovera matatu (yasagwe).Asali lita moja.Limau 2Matayarisho: Ongeza maji lita mbili na uache kwa muda wa masaa 8 kisha chuja na uhifadhikwenye friji.Matumizi:Kikombe cha kahawa kutwa mara 4 kwa muda wa mwezi mmoja. CD4 Additive Fomula 4Vitu vinavyohitajika:Tende 1kg.Kitunguu thaumu robo kilo.Maziwa halisi 1 lita.Uwatu vijiko vikubwa vinne.Mdalsini (unga) vijiko vikubwa vinne.Tangawizi ya unga vijiko vikubwa vinne.Haba Soda ya unga vijiko vikubwa vinne.Matayarisho:Saga tende na maziwa kwa pamoja kisha changanya vitu vingine na weka jikoni na kuvipikapamoja hadi viive.Matumizi:Kula vijiko viwili vikubwa (vya chakula) mara tatu kwa siku kwa muda wa miezi mitatu.Zingatia: Baadhi ya vitu vilivyotajwa hapo juu vinapatikana kwenye maduka ya dawa zaKisunnah na Kiarabu, hivyo ni muhimu kuvipata kutoka kwenye maduka halisi yanayouza vitu hivyo. Maswali muhimu ya kujiuliza kuhusu UKIMWI Kubusiana kwa kunyonyana ndimi kunaweza kuchangia maambukizi ya virusi vya UKIMWI? Uwezekano wa kuambukizwa virusi vya UKIMWI kwa kunyonyana ndimi ni mdogo sana.Kwa kubadilishana mate wakati wa kubusiana tu, haiwezekani maambukizo ya virusi vya UKIMWI kutokea. Lakini kama mmoja kati ya wapenzi ana vidonda au michubuko mdomoni, uwezekano wa kuambukizana huongezeka. Je, nikinywa vidonge vya kuzuia mimba nitajikinga na UKIMWI?Hapana. Vidonge vya kuzuia mimba vinazuia mwanamke kupata mimba, lakini siyo kinga ya UKIMWI. Ukijamiiana na mtu mwenye virusi vya UKIMWI unaweza kuambukizwa wakati wa kujamiiana kwa kupitia mwingiliano wa majimaji ya mwili, kama shahawa na majimaji ya ukeni. Je, ni kweli kwamba mtu anaweza kufanya ngono na mtu mwenye VVU bila kupata maambukizo?Ndiyo. Uwezekano ni kama ifuatavyo: Endapo hali yake ya kinga asilia haijaharibika; na pia hana magonjwa ya ngono, michubuko, vidonda, n.k. hatari ni ndogoHatari ya kupata maambukizo ni kubwa zaidi mwanzoni mwa maambukizo na kipindi cha UKIMWI motoEndapo kuna idadi ndogo sana ya virusi kwa muathirika, hatari ni ndogo.Na kama ngono ilifanyika salama k.m. kondom ilitumika. Je, ni mara ngapi mtu afanye ngono uzembe hadi apate VVU?Hakuna idadi ya ngono uzembe ambayo ni salama, waweza kufanya ngono mara moja na kupata VVU, na mwingine akafanya ngono zaidi ya mara moja bila kupata VVU. Je, ni njia zipi ambazo haziwezi kusababisha uambukizo wa virusi?Kuna njia kadhaa ambazo hazienezi virusi vya UKIMWI. Nazo ni kama zifuatazo; Kula chakula katika chombo kimoja na mtu mwenye UKIMWIKuchangia choo kimojaKulogwaKupiga chafya kwa mgonjwa mwenye UKIMWIKumbusu shavuni mtu mwenye virusi vya UKIMWI Je, ukigusana na maiti mwenye VVU unaweza kupata uambukizo?Endapo utagusana na majimaji yatokayo kwenye maiti yenye VVU uwezekano upo wa kupata uambukizo kama virusi vingali hai. Kwa nini UKIMWI unawaathiri waafrika sana kuliko wazungu?Hapa kuna mambo mawili ya kuzingatia: Jamii ya kiafrika haijapokea kwa dhati na kuzingatia njia mbalimbali za kuzuia maambukizi ya VVU kama ilivyo kwa jamii ya kizungu.Huduma bora za afya kwa waathirika kama dawa za kupunguza makali na dawa za kutibu magonjwa nyemelezi hupatikana zaidi kwa wazungu kuliko kwa waafrika. Je, kama nina UKIMWI ni mabadiliko gani yatatokea mwilini mwangu?Mabadiliko yanayoweza kutokea katika mwili wa mtu mwenye UKIMWI baada ya virusi kuangamiza walinzi (chembechembe hai nyeupe za damu) . UKIMWI MOTO na dalili zake ni kama zifuatazo: Mwili kudhoofika na kupungua uzito kwa asilimia kumi (10%) au zaidiHoma za kila maraKuharisha mfululizo kwa zaidi ya wiki nneVidonda sehemu za siri na mdomoni Kuvimba teziMajipu mwili mzimaSaratani (kansa) ya ngoziUtando mweupe mdomoniUkurutuUgonjwa wa ngozi, n.k Je, mtu mwenye kuonekana na afya nzuri anaweza kuwa na virusi vya UKIMWI?Ndiyo, mtu anayeonekana na afya nzuri anaweza kuwa na virusi vya UKIMWI. Katika hatua ya mwanzo baada ya kuambukizwa mtu anakuwa na virusi vya UKIMWI kwenye damu lakini haonyeshi dalili zozote za kuumwa. Hatua hii inaweza kuchukua zaidi ya miaka 10! Hii ni hatari sana, kwa sababu kama unajamiiana na mtu mwenye kuonekana na afya nzuri, lakini ndani ya mwili tayari anavyo virusi vya UKIMWI, naweza kukuambukiza. Siyo rahisi kumtambua mtu mwenye virusi vya UKIMWI, hasa akiwa katika hatua ya mwanzo baada ya kuambukizwa. Ni kwa njia ya kupima damu kliniki tu, unaweza kuwa na uhakika kama virusi anavyo au hajavipata. Kwa hiyo, kujamiiana bila kujikinga kwa kutumia kondomu i n a w e z e k a na kuhatarisha maisha yako, hata kama mpenzi wako ni mtu mwenye kuonekana na afya nzuri. Je, ni kweli kwamba kujamiiana na bikra kunatibu UKIMWI?Hapana! Si kweli kwamba unaweza ukapona VVU/UKIMWI kwa kujamiiana na bikra. Hadi sasa hakuna tiba ya maambukizi ya VUU. Ukweli ni kwamba kama umeathirika na VVU/UKIMWI na ukajamiiana na bikra bila kinga unahatarisha afya na maisha ya bikra huyo. Je, vile vijidudu vya UKIMWI hukaa wapi katika mwili wa binadamu na mabadiliko gani yanatokea katika mwili ukishavipata?Virusi hivi vinapatikana katika chembechembe nyeupe, kwenye majimaji ya mwili, hasa katika damu, shahawa, majimaji ukeni na maziwa ya mama anayenyonyesha. Chembechembe nyeupe za damu hupendwa na vijidudu vya UKIMWI kwa kujilisha na kuzaliana humo.Kwa hiyo, mara virusi vya UKIMWI vikiimgia mwilini, huzaliana na kuongezeka ndani ya chembechembe nyeupe za damu hatimaye chembe chembe hupasuka.Virusi huachiwa huru na kushambulia chembechembe nyingine nyeupe. Kadri chembechembe nyingine zinavyozidi kupasuka na kuachia virusi vya UKIMWI, idadi yake mwilini hupungua na mwili huanza kupungua nguvu. Kuna tofauti gani kati ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI wenyewe?Virusi vya UKIMWI kwa kifupi vinaitwa VVU. Virusi vya UKIMWI ni virusi vinavyoleta upungufu wa kinga mwilini(UKIMWI). UKIMWI kwa upande mwingine ni ugonjwa pale dalili zake zinapoanza kuonekana wazi. Tofauti kati ya VVU na UKIMWI ni kwamba mtu mwenye virusi vya UKIMWI, bado anaweza kuwa mtu mwenye kuonekana na afya nzuri.Virusi vipo katika damu yake, lakini, havijaanza kuzishambulia chembechembe nyeupe. Kwa upande mwingine, mtu mwenye UKIMWI tayari mwili wake ni umepungua kinga na unashambuliwa na magonjwa mbalimbali na tayari ameanza kuugua ugonjwa huu. Je, watu wote wenye virusi vya UKIMWI watapata UKIMWI?Ndiyo, baada ya muda fulani kila mtu mwenye virusi vya UKIMWI ataanza kuugua UKIMWI. Lakini muda kati ya kuambukizwa Virusi na kuanza kuugua unatofautiana.Wengine wanaishi muda mrefu zaidi. Kwa wastani watu wazee wazima wanaishi kwa miaka 10 kabla ya kupata dalili za awali. Watoto wanaopata virusi kabla ya umri wa miaka mitano na kwa wastani waendelea kiishi mwaka mmoja hadi mitatu. Hakuna jibu la ujumla la ni miaka mingapi ataishi tena mtu aliyeambukizwa virusi vya UKIMWI. Idadi ya miaka ya kuishi baada ya kuambukizwa inategemea vitu vingi, kama kinga asilia inayo mkinga mtu, hali ya lishe mwilini, idadi ya virusi vilivyoingia mwilini, kujikinga na kutibu mapema na kwa ukamilifu maradhi mengine mara tu yanapojitokeza. Je, mtu mwenye kuonekana na afya nzuri, anaweza kuwa na virusi vya UKIMWI?Ndiyo, mtu anayeonekana na afya nzuri anaweza kuwa na virusi vya UKIMWI. Katika hatua ya mwanzo baada ya kuambukizwa mtu anaweza kuwa na virusi vya UKIMWI kwenye damu lakini haonyeshi dalili zozote za kuumwa. Hatua hii inaweza kuchukua zaidi ya miaka 10, hii ni hatari sana kwa sababu kama unajamiiana na mtu mwenye kuonekana na afya nzuri, lakini ndani ya mwili tayari anavyo virusi vya UKIMWI, anaweza kukuambukiza. Siyo rahisi kumtambua mtu mwenye virusi vya UKIMWI, hasa akiwa katika hatua ya mwanzo ya baada ya kuambukizwa. Ni kwa njia ya kupima damu kwenye kliniki tu,unaweza kuwa na uhakika kama ameshaambukizwa au la. Kwa hiyo kujamiiana bila kujikinga kwa kutumia kondomu inawezekana kuhatarisha maisha yako, hata kama mpenzi wako ni mtu mwenye kuonekana na afya nzuri. Je, dalili za kuugua UKIMWI ni zipi?Baada ya virusi vya UKIMWI kuangamiza walinzi wa mwili, yaani chembe chembe hai nyeupe za damu, uwezo wa mwili kupambana na magonjwa hupungua. Ina maana kwamba magonjwa mengine yanaweza kuushambulia na mwili kutoweza kujilinda. Mara nyingi mtu anapungua sana uzito, anapatwa na homa za mara kwa mara, anaweza kuharisha mfululizo au anaweza kuwa na vidonda sehemu za siri au midomoni. Lakini ukipata dalili moja kati ya hizi, usiamue mara moja kwamba umepata UKIMWI. Yapo magonjwa mengi yanayoonyesha dalili sawa sawa na hizi. Unashauriwa kumwona daktari ambaye atakupa ufafanuzi wa kitaalamu. Je, ni tabia zipi zinazochangia kuenea kwa virusi vya UKIMWI?Virusi vya UKIMWI kwa kiasi kikubwa vinaenea kwa njia ya kujamiiana. Mtu akiwa na wapenzi wengi, uwezekano wa kuambukizwa unaongezeka, kwasababu kila mpenzi anaweza kuwa chanzo cha kupata virusi.Vilevile mtu akifanya mapenzi yasiyo salama, yaani kuingiliana kimwili (ukeni au sehemu ya haja kubwa) bila kutumia kondomu anahatarisha masiha yake. Pia kuchelewa kutibu magonjwa mengine ya zinaa, kunachangia kuenea kwa virusi vya UKIMWI. Kwa mfano kama mtu anaugua ugonjwa wa zinaa, vijidudu vya UKIMWI vinaweza kuingia mwilini kwa urahisi zaidi kwa sababu ya vidonda sehemu zake za siri.Matumizi ya madawa ya kulevya pamoja na pombe yanaweza kuchangia kufanya maamuzi yasiyo sahihi katika matendo ya ngono. Je, mwanaume akitoa uume nje ya uke kabla ya kumwaga shahawa anaweza kuambukizwa UKIMWI na anaweza kumwambukiza mwenzie?Ndiyo, hata akitoa uume nje ya uke kabla ya kumwaga shahawa anaweza kumwambukiza UKIMWI mwenzie. Ni hatari kwa mwanamke na pia kwa mwanaume, kwa sababu vijidudu vimo ndani ya majimaji ukeni na uumeni. Hasa kama mmoja ana vidonda au michubuko midogo sehemu za siri, UKIMWI unaenea kwa urahisi.Kutoa uume nje ya uke kabla ya kumwaga shahawa siyo njia salama ya kujikinga na UKIMWI. Je, nikijamiiana kwa njia ya sehemu ya haja kubwa au mdomoni na mtu mwenye virusi vya UKIMWI, nitaambukizwa virusi hivyo?Ndiyo, kuna hatari kubwa ya kuambukizwa UKIMWI wakati wa kujamiiana kwa njia ya haja kubwa au mdomoni na mwenye virusi vya UKIMWI.Ngozi ya ndani ya haja kubwa ni laini sana na uwezekano wa kupata michubuko wakati wa kujamiiana ni mkubwa, kwa sababu hakuna majimaji kama ukeni yanayorahisisha uume kuingia. Kwa virusi vya UKIMWI ni rahisi sana kuingia mwilini mwa mwanamke kupitia kwenye michubuko.Vile vile mwanaume anaweza kuambukizwa kama damu kutoka kwenye michubuko ya mwanamke inagusana na mwili wake. Kwa hiyo ni hatari kwa wote wawili kuambukizana. Watu wote wanashauriwa kutotumia njia hizi za kujamiiana, ila watumie kondomu kwa kuzuia kuambukizwa magonjwa ya zinaa, pamoja na UKIMWI.

DAWA MPYA YA KISUKARI KWAAJILI YAKO

IJUE SAMOX DAWA YA KUTIBU KISUKARI (DIABETES) Kisukari ni hali inayotokea wakati sukari inapozidi ile inayotakiwa katika damu kwa sababu ya upungufu au ukosefu wa insulin.Insulin ni kichocheo kinachotengenezwa kwenye kongosho na kwamba hutumika kusaidia mwili kutumia sukari inayotokana na vyakula tunavyokula. Aina za kisukari Kuna aina kuu mbili za kisukari; Kwanza ni kisukari kinachotegemea insulin. Insulini ni aina ya homoni inayozalishwa na kongosho. Kazi a Insulini ni kurekebisha hali ya sukari kwenye damu, ikiwa ni nyingi inapunguzwa kurudi kwenye hali ya kawaida na ikiwa chache huruhusu irejee kwenye hali ya kawaida pia.Kunapokuwa na hitilafu kongosho likazalisha homoni hii kwa wingi, sukari hupungua mwilini, au isipozalishwa, sukari huongezeka mwilini.Hospitalini, aina hii ya sukari inatibiwa kwa kutumia sindano za insulin na kurekebisha ulaji wa vyakula.Pili ni kisukari kisichotegemea insulini. Haspitalini hiki hutibiwa kwa kutumia vidonge pamoja na kurekebisha ulaji wa vyakula au kwa kurekebisha vyakula peke yake. Watu wengi walio na aina ya kisukari kisichotegemea insulin ni wanene kupita kiasi na ikiwa watapunguza uzito kasi ya ugonjwa hupungua au kuisha kabisa.Sukari inaweza kuwa juu au chini kupita kiasi cha kiwango kinachotakiwa. Hali zote hizo mbili si nzuri kwa binadamu kwa sababu mgonjwa anaweza kufa haraka.Sukari inaweza kuwa juu bila dalili zozote zile kujitokeza mwilini mwa mgonjwa.Watu wanaojijua kuwa na tatizo la kisukari wanashauriwa kupima damu au mkojo mara kwa mara ili kufahamu kama sukari katika damu yao iko sawa au haiko sawa.Dalili za mtu aliyepungukiwa sukari mwilini ni pamoja na mapigo ya moyo kwenda haraka haraka, kutokwa jasho kwa wingi, kujisikia kama mwenye homa, kuchoka na kuumwa kichwa.Ni vizuri mtu akihisi dalili hizo ahakikishe anapima sukari mwilini. Hadi sasa hakuna tiba ya kuponya ugonjwa wa kisukari. Hata hivyo wagonjwa wote wanaweza kuishi vizuri na kufanya kazi zao zote ikiwa watafuata maelekezo na masharti yanayotakiwa. Madhara ya kisukari Mtu mwenye kisukari anaweza kupatwa na tatizo la kupungua uwezo wa macho kuona, figo kutofanya kazi zake ipasavyo na kupata vidonda vya miguuni visivyopona. Pia mtu mwenye tatizo la kisukari mishipa yake ya fahamu ya miguuni na mikononi kutofanya kazi zake vizuri, matatizo ya moyo na kupatwa na magonjwa mbali mbali ya ngozi.Madhara hayo yanazuilika kwa kuzingatia kutozidi kwa sukari kwenye damu ya mgonjwa. Tiba kwa kutumia SAMOX SAMOX ni dawa ya asili ya kutibu kisukari. Ni mcahanganyiko wa dawa inayotokana na miti aina ya IGOBEKO, MWATYA na IFUBATA. SAMOX hufanya kazi ya kuboresha kongosho liweze kutoa homoni ya insulin katika kiwango cha kawaida na hivyo kuondoa tatizo la kisukari. Pia hutibu kisukari kisichotegemea insulin. Baada ya kufanya majaribio kwa muda mrefu sasa yaonesha mafanikio 90% itakufanya uwe na nguvu kwa muda mfupi sana mwenye afya njema . Itumie sasasa wengi imewasaidia piga simu 0716 096205.Tupo Kawe mtaa wa Ghuba kwa Wamasai karibu na mnara wa Zantel kuna barabara inashuka chini bango lipo hapo Kihembe Herbalist Hospital. Namba ya simu ni 0756 726865. pia unaweza kuletewa popote ulipo Dar .Email : Kihembehebalist@gmail.com, Blog: www.kihembehebalist.blogspot .com. Ushauri kuhusu chakula kama una kisukari na hujatibiwa Vyakula vinavyofaa husaidia mwili kuwa na viwango vya sukari na mafuta vinavyostahili kuwepo damuni, hupunguza unene kupita kiasi, hutosheleza mahitaji ya mwili ya nishati, madini na vitamini ili kuuwezesha mwili kuwa na uzito unaostahili na kufanya kazi ipasavyo.Kila mwenye tatizo la ugonjwa wa kisukari anatakiwa kuepuka kula vyakula vilivyowekwa sukari kwa sababu sukari huyeyushwa upesi sana tumboni na kusababisha sukari nyingi kuingia kwenye damu katika muda mfupi.Vyakula kama sukari, glucose, asali, jamu, keki, pipi, ice cream, chocolate na soda zote zilizo tamu haviruhusiwi kwa mtu mweye tatizo la kisukari. Chai, kahawa, maziwa na uji vinaruhusiwa kutumiwa iwapo vitakuwa havijaongezwa sukari. Madafu na club soda vinaruhusiwa kwa sababu havina sukari inayoweza kuyeyuka haraka na kukimbilia kwenye damu.Mgonjwa wa sukari anaweza kuongeza utamu kwenye mchanganyiko anaoutaka kwa kutumia vidonge ambavyo hupatikana kwenye maduka ya madawa.Njaa nayo huchangia kumfanya mgonjwa wa kisukari kujisikia vibaya huenda kwa vile sukari inaweza kupungua kupita kiasi mwilini.Mgonjwa wa kisukari anatakiwa kutokaa na njaa, kula mara kwa mara na pia kula mara tatu au zaidi kwa siku na ikiwezekana anatakiwa kutafuna vitu vidogo vidogo katikati ya milo mikubwa.Inashauriwa kuwa mgonjwa asipendelee kula milo mikubwa mchana au jioni. Mgonjwa huyo hatakiwa kuacha kula vyakula vyenye wanga kama vile ugali, viazi na wali.Anachotakiwa kufanya ni kuzingatia kiasi cha chakula cha wanga anachokula kwa mlo na pia anatakiwa kutumia zaidi nafaka zisizokobolewa kwa mfano dona kwa sababu huweza kumpatia mgonjwa vitamini na madini.Hakuna sababu ya mgonjwa kupikiwa chakula chake maalum kwa sababu anaweza kula chakula chochote kilichopikwa na familia isipokuwa vile vilivyowekwa sukari. Mgonjwa anatakiwa kula matunda kwa wingi na kwamba anaweza kula matunda aina zote kwa siku. Anatakiwa pia kula mboga za majani kwa wingi au kachumbari kila siku. Mgonjwa wa kisukari anatakiwa kupunguza kiasi cha mafuta anachokula na pia kuepuka kula mafuta yenye asili ya nyama.Anatakiwa kutumia zaidi vyakula vilivyochomwa, kuokwa au kubanikwa kuliko vile vilivyokaangwa na kula samaki, maharage au kuku aliyetolewa ngozi. Mgonjwa wa kisukari anatakiwa kuepuka kunywa pombe kwa wingi kwa sababu huweza kuathiri afya yake.Kama mgonjwa huyo hawezi kujizuia iwapo ni mnywaji wa bia, anatakiwa kunywa chupa moja au mbili na sio zaidi ya hizo, kama ni mvinyo anatakiwa kunywa bilauri moja au mbili tu au toti nne za vinywaji vikali kwa siku. Vyakula vya hatari kwa mgonjwa Vyakula vinavyoweza kumwongezea mgonjwa madhara ni sukari yenyewe, nyama nono yenye mafuta, mayai, figo au maini husababisha sukari kupanda kwa kiwango cha aina ya mafuta mabaya yanayosababisha damu kuganda kwenye moyo na mishipa ya damu na kuleta magonjwa ya moyo. Vyakula vya kuliwa bila mashariti Mboga za majani, nyanya, matango, bamia, karoti, vitunguu, pilipili hoho, pilipili, viungo vyote vya vyakula bila kuweka chumvi nyingi, maji ya kunywa, chai na kahawa.Ikiwa mgonjwa wa kisukari anaumwa na hawezi kula vyakula vya kawaida anatakiwa kunywa uji, maziwa, chai, kahawa, na kuongeza sukari. Maji ya matunda au vyakula baridi na kula miwa kama inapatikana.Kila mgonjwa wa kisukari anashauriwa kwenda kupata ushauri wa madaktari na pia kufanya mazoezi.

Tuesday, March 30, 2010

habari mpya za dawa ya Ozymix

KARIBU KIHEMBE HEBARIST HOSPITAL
MABINGWA WA TIBA ASILIA NCHINI
Kihembe hebarist inajivunia dawa zao ambazo zimeleta heshima pamoja na umaarufu kwa wale waliozitumia
DAWA ZETU 1. OZYMIX POWER ni dawa bora ya nguvu za kiume2. V.O.P ni dawa inayoorefusha maumbile pamoja na kunenepesha3. AZOX -Dawa ya kuongeza CD4 kwa wagonjwa walioathirika na ugonjwa wa Ukimwi4. SAMOX i dawa ya kisukari ambayo wagonjwa wa kisukari walioitumia wameikubali.
TUANGALIE DAWA HIZO ZINAFANYAJE KAZI
OZYMIX POWER: OZYMIX NI NINI?
OZYMIX POWER ni dawa ambayo inatibu tatizo ambalo husababisha upungufu wa nguvu za kiume. Hupungufu wa nguvu za kiume husababishwa na BAKTERIA ambao hushambulia nmishipa iliyo katika uume na kuufanya ukose nguvu za kufanya kazi kwa sababu wale wadudu wanapoingia ndani ya mwili hukimbilia katika mishipa ya kiume na kuishambulia. Wakishambulia huwa wanaziba na kusababisha damu kushindwa kupenya katika mishipa.
Ili uume usimame na kuwa imara lazima damu ijaye katika mishipa na ikijaa unaweza kumaliza tendo la ndoa na unaweza kurudia zaidi ya mara tatu na hamu ya tendo ikawa ipo pale pale.
Utajuaje kama una tatizo hilo?Soma dalili hizi.
1. Kushindwa kurudia tendo la ndoa2. Kutosikia hamu ya tendo la ndoa3. Maumivu ya kiuno na mgongo4. Tumbo kuunguruma na kujaa gesi5. Korodani moja kuvimba6. Kujisaidia kinyesi kama cha mbuzi.
V.O.P NI NINI? VERY OPERATION PUMP
V.O.P ni dawa ambayo ina uwezo wa kurefusha mnaumbile kwa muda mfupi. Hii dawa inafufua homoni kwa kuzipandisha kwa haraka sana.
HOMONI NI NINI?Homoni ni viini au vichocheo ambavyo husababisha hisia na huchochea kukua kwa kitu. Mwanadamu huwa na homoni ambazo husababisha uume kukua na kurefuka. Kama Homoni zikiwa hazina nguvu ndio maana uume unakuwa mfupi na kushindwa kukidhi matumizi ya mlengwa. Kwa hiyo tumekuletea dawa hiyo ili wewe uweze kujiona binadamu uliye kamili.
AZOX:
AZOX ni dawa ambayo huongeza kinga za mwili yaani CD4 ambazo ni chembechembe hai kwa muda mfupi. vilevile huongeza nguvu, kuzuia kuharisha na kutapika.Pia ina uwezo wa kuongeza CD 4 100 kwa wiki.
SAMOXSAMOX NI NINI?Ni dawa ambayo huchanganywa na miti mitatu ambayo ni Nsasi Itunduru na Subat, miti hiyo ambayo hutibu kisukari na kupona kabisa.Hii dawa imesaidia wagonjwa wengi wa kisukari na kupona kabisa.
Pia tunatibu uzazi, miguu, degedege, tumbo la akina mama. Tunatibu magonjwa 150.
DAWA HIZI ZIMEGUNDULIWA NCHINI NIGERIA NA DR. KIHEMBE AMBAYE AMEZIFANYIA UTAFITI KWA ZAIDI YA MIAKA MITANO NCHINI HUMO NA KUPATA MAFANIKIO MAKUBWA.
Dawa zote zinapatikana Tanzania: Kwa ushauri fika kwenye ofisi yetu iliyopo Kawe Ukwamani, mtaa wa Guba kwa Wamasai karibu na Mnara wa Zantel.Wasiliana nasi kwa simu
0756 726865/ 0716 096 205
e-mail: kihembehebalist@gmail.comBLOG: www.kihembehebalist.blogspot.com.
OFISI IMEANDIKWA
KIHEMBE HEBARIST HOSPITAL TANZANIATIBA ASILIA