Ukosefu wa nguvu za kiume Baadhi ya mambo yafuatayo husababisha tatizo hili kutokea. Dawa: Wakati mwingine tatizo hili husababishwa na matumizi ya baadhi ya dawa. Baadhi ya wanaume wa makamo huwa katika hatari ya kupata maradhi ya aina mbalimbali yanayowafanya wajikute wakitumia dawa za aina mbalimbali kwa wakati mmoja zinazoweza kuathiri nguvu za kiume.Hata hivyo, unapokuwa unatumia dawa na ukaanza kuhisi unapungukiwa nguvu za kiume, si suala la kuzilalamikia dawa hizo kwanza, isipokuwa unatakiwa kujaribu kuziacha na kusubiri kwa wiki sita uangalie kama tatizo hilo litakuwa limekwisha au linaendelea kuwepo.Inakadiriwa kuwa asilimia 25 ya wanaume wenye tatizo hili, husababishwa na matumizi ya dawa. Magonjwa: Magonjwa mshipa ya damu hasa ile ya arteri inayopeleka damu safu kwenye uume huasababisha tatizo huli. Pia magonjwa kama shinikizo la juu la damu, ongezeko la cholesterol mwilini, ugnjwa wa kisukari, na uvutaji sogara kupita kiasi, huchangia kutokea kwa tatizo hili.Matatizo ya mish