DAWA BORA YA KUONGEZA CD4 YAPATIKANA



AZOX DAWA YA KUONGEZA KINGA MWILINI NA CD4 AZOX ni dawa ya kuongeza CD4, inatokana na mchanganyiko wa miti aina ya NGUMO na NTOBO.Virusi vya Ukimwi (VVU) hudhoofisha nguvu za mwilikujikinga na maradhi nyemelezi. Mgonjwa hushambuliwa na maradhi kwa sababu kinga mwilini imepungua. Azox husaidia kuongeza kinga mwilini na kupunguza makali ya Ukimwi. ZINGATIA;Siyo watu wote wenye maambukizi ya Ukimwi wanalazimika kuanza kutumia lishe ya kuongeza CD4 na kupunguza makali ya Ukimwi.Utaanza tu kutumia kwa kutegemea hali ya afya yako, idadi ya hembechembe za CD4. AZOX NI NINI ? Ni dawa zenye uwezo wa kupunguza makali ya VVUmwilini. Huongeza kinga mwilini na kumpa mgonjwa nafuu kwa kumpa nguvu ya kufanya shughuli zake kama kawaida.


Ikiwa kinga itapungua sana na kuanza kushambuliwa mara kwa mara na maradhi nyemelezi, unashauriwa uanze kutumia AZOX. Baada ya kufanya majaribio kwa muda mrefu sasa yaonesha mafanikio 90% itakufanya uwe na nguvu kwa muda mfupi sana mwenye afya njema . Itumie sasasa wengi imewasaidia piga simu 0716 096205.Tupo Kawe mtaa wa Ghuba kwa Wamasai karibu na mnara wa Zantel kuna barabara inashuka chini bango lipo hapo Kihembe Herbalist Hospital. Namba ya simu ni 0756 726865. pia unaweza kuletewa popote ulipo Dar .Email : Kihembehebalist@gmail.com, Blog: www.kihembehebalist.blogspot .com. LISHE YA KUONGEZA KINGA MWILINI Kwa ajili ya kuongeza kinga mwilini tumia moja ya fomula nne za hapa chini:CD4 Fomula 1Vitu vinavyohitajika:Mbegu za figili (unga) - kijiko kimoja cha chakula.Haba Soda (unga) - kijiko kimoja cha chakula.Kitunguu thaumu (unga) - kijiko kimoja cha chakula.Asali - lita mojaSufa - kijiko kimoja cha chakula.Mdalasini (unga) - kijiko kimoja cha chakula.Matayarisho: Vitu vyote hivyo vichanganywe pamoja hadi viwe juisi.Matumizi: Kunywa vijiko vitatu vya chakula kutwa mara tatu. CD4 Additive Fomula 2:Vitu vinavyohitajika:Karoti 2Ndizi mbivu 2Pilipili mboga 2Chumvi kidogoNdimu 1Nanasi robo kiloNjegere robo kiloKunde mbichi robo kiloPapai bichi 1Karanga robo kiloEmbe kubwa 1Parachichi 1Matayarisho: Vitu vyote hivyo visagwe pamoja hadi viwe juisi.Matumizi: Kunywa glass moja kutwa mara mbili. CD4 Additive Fomula 3Vitu vinavyohitajika:Karoti iliyosagwa robo kilo.Kitunguu thaumu (unga) robo kilo.Mdalasini wa unga robo kilo.Tangawizi ya unga robo kilo.Majani ya Alovera matatu (yasagwe).Asali lita moja.Limau 2Matayarisho: Ongeza maji lita mbili na uache kwa muda wa masaa 8 kisha chuja na uhifadhikwenye friji.Matumizi:Kikombe cha kahawa kutwa mara 4 kwa muda wa mwezi mmoja. CD4 Additive Fomula 4Vitu vinavyohitajika:Tende 1kg.Kitunguu thaumu robo kilo.Maziwa halisi 1 lita.Uwatu vijiko vikubwa vinne.Mdalsini (unga) vijiko vikubwa vinne.Tangawizi ya unga vijiko vikubwa vinne.Haba Soda ya unga vijiko vikubwa vinne.Matayarisho:Saga tende na maziwa kwa pamoja kisha changanya vitu vingine na weka jikoni na kuvipikapamoja hadi viive.Matumizi:Kula vijiko viwili vikubwa (vya chakula) mara tatu kwa siku kwa muda wa miezi mitatu.Zingatia: Baadhi ya vitu vilivyotajwa hapo juu vinapatikana kwenye maduka ya dawa zaKisunnah na Kiarabu, hivyo ni muhimu kuvipata kutoka kwenye maduka halisi yanayouza vitu hivyo. Maswali muhimu ya kujiuliza kuhusu UKIMWI Kubusiana kwa kunyonyana ndimi kunaweza kuchangia maambukizi ya virusi vya UKIMWI? Uwezekano wa kuambukizwa virusi vya UKIMWI kwa kunyonyana ndimi ni mdogo sana.Kwa kubadilishana mate wakati wa kubusiana tu, haiwezekani maambukizo ya virusi vya UKIMWI kutokea. Lakini kama mmoja kati ya wapenzi ana vidonda au michubuko mdomoni, uwezekano wa kuambukizana huongezeka. Je, nikinywa vidonge vya kuzuia mimba nitajikinga na UKIMWI?Hapana. Vidonge vya kuzuia mimba vinazuia mwanamke kupata mimba, lakini siyo kinga ya UKIMWI. Ukijamiiana na mtu mwenye virusi vya UKIMWI unaweza kuambukizwa wakati wa kujamiiana kwa kupitia mwingiliano wa majimaji ya mwili, kama shahawa na majimaji ya ukeni. Je, ni kweli kwamba mtu anaweza kufanya ngono na mtu mwenye VVU bila kupata maambukizo?Ndiyo. Uwezekano ni kama ifuatavyo: Endapo hali yake ya kinga asilia haijaharibika; na pia hana magonjwa ya ngono, michubuko, vidonda, n.k. hatari ni ndogoHatari ya kupata maambukizo ni kubwa zaidi mwanzoni mwa maambukizo na kipindi cha UKIMWI motoEndapo kuna idadi ndogo sana ya virusi kwa muathirika, hatari ni ndogo.Na kama ngono ilifanyika salama k.m. kondom ilitumika. Je, ni mara ngapi mtu afanye ngono uzembe hadi apate VVU?Hakuna idadi ya ngono uzembe ambayo ni salama, waweza kufanya ngono mara moja na kupata VVU, na mwingine akafanya ngono zaidi ya mara moja bila kupata VVU. Je, ni njia zipi ambazo haziwezi kusababisha uambukizo wa virusi?Kuna njia kadhaa ambazo hazienezi virusi vya UKIMWI. Nazo ni kama zifuatazo; Kula chakula katika chombo kimoja na mtu mwenye UKIMWIKuchangia choo kimojaKulogwaKupiga chafya kwa mgonjwa mwenye UKIMWIKumbusu shavuni mtu mwenye virusi vya UKIMWI Je, ukigusana na maiti mwenye VVU unaweza kupata uambukizo?Endapo utagusana na majimaji yatokayo kwenye maiti yenye VVU uwezekano upo wa kupata uambukizo kama virusi vingali hai. Kwa nini UKIMWI unawaathiri waafrika sana kuliko wazungu?Hapa kuna mambo mawili ya kuzingatia: Jamii ya kiafrika haijapokea kwa dhati na kuzingatia njia mbalimbali za kuzuia maambukizi ya VVU kama ilivyo kwa jamii ya kizungu.Huduma bora za afya kwa waathirika kama dawa za kupunguza makali na dawa za kutibu magonjwa nyemelezi hupatikana zaidi kwa wazungu kuliko kwa waafrika. Je, kama nina UKIMWI ni mabadiliko gani yatatokea mwilini mwangu?Mabadiliko yanayoweza kutokea katika mwili wa mtu mwenye UKIMWI baada ya virusi kuangamiza walinzi (chembechembe hai nyeupe za damu) . UKIMWI MOTO na dalili zake ni kama zifuatazo: Mwili kudhoofika na kupungua uzito kwa asilimia kumi (10%) au zaidiHoma za kila maraKuharisha mfululizo kwa zaidi ya wiki nneVidonda sehemu za siri na mdomoni Kuvimba teziMajipu mwili mzimaSaratani (kansa) ya ngoziUtando mweupe mdomoniUkurutuUgonjwa wa ngozi, n.k Je, mtu mwenye kuonekana na afya nzuri anaweza kuwa na virusi vya UKIMWI?Ndiyo, mtu anayeonekana na afya nzuri anaweza kuwa na virusi vya UKIMWI. Katika hatua ya mwanzo baada ya kuambukizwa mtu anakuwa na virusi vya UKIMWI kwenye damu lakini haonyeshi dalili zozote za kuumwa. Hatua hii inaweza kuchukua zaidi ya miaka 10! Hii ni hatari sana, kwa sababu kama unajamiiana na mtu mwenye kuonekana na afya nzuri, lakini ndani ya mwili tayari anavyo virusi vya UKIMWI, naweza kukuambukiza. Siyo rahisi kumtambua mtu mwenye virusi vya UKIMWI, hasa akiwa katika hatua ya mwanzo baada ya kuambukizwa. Ni kwa njia ya kupima damu kliniki tu, unaweza kuwa na uhakika kama virusi anavyo au hajavipata. Kwa hiyo, kujamiiana bila kujikinga kwa kutumia kondomu i n a w e z e k a na kuhatarisha maisha yako, hata kama mpenzi wako ni mtu mwenye kuonekana na afya nzuri. Je, ni kweli kwamba kujamiiana na bikra kunatibu UKIMWI?Hapana! Si kweli kwamba unaweza ukapona VVU/UKIMWI kwa kujamiiana na bikra. Hadi sasa hakuna tiba ya maambukizi ya VUU. Ukweli ni kwamba kama umeathirika na VVU/UKIMWI na ukajamiiana na bikra bila kinga unahatarisha afya na maisha ya bikra huyo. Je, vile vijidudu vya UKIMWI hukaa wapi katika mwili wa binadamu na mabadiliko gani yanatokea katika mwili ukishavipata?Virusi hivi vinapatikana katika chembechembe nyeupe, kwenye majimaji ya mwili, hasa katika damu, shahawa, majimaji ukeni na maziwa ya mama anayenyonyesha. Chembechembe nyeupe za damu hupendwa na vijidudu vya UKIMWI kwa kujilisha na kuzaliana humo.Kwa hiyo, mara virusi vya UKIMWI vikiimgia mwilini, huzaliana na kuongezeka ndani ya chembechembe nyeupe za damu hatimaye chembe chembe hupasuka.Virusi huachiwa huru na kushambulia chembechembe nyingine nyeupe. Kadri chembechembe nyingine zinavyozidi kupasuka na kuachia virusi vya UKIMWI, idadi yake mwilini hupungua na mwili huanza kupungua nguvu. Kuna tofauti gani kati ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI wenyewe?Virusi vya UKIMWI kwa kifupi vinaitwa VVU. Virusi vya UKIMWI ni virusi vinavyoleta upungufu wa kinga mwilini(UKIMWI). UKIMWI kwa upande mwingine ni ugonjwa pale dalili zake zinapoanza kuonekana wazi. Tofauti kati ya VVU na UKIMWI ni kwamba mtu mwenye virusi vya UKIMWI, bado anaweza kuwa mtu mwenye kuonekana na afya nzuri.Virusi vipo katika damu yake, lakini, havijaanza kuzishambulia chembechembe nyeupe. Kwa upande mwingine, mtu mwenye UKIMWI tayari mwili wake ni umepungua kinga na unashambuliwa na magonjwa mbalimbali na tayari ameanza kuugua ugonjwa huu. Je, watu wote wenye virusi vya UKIMWI watapata UKIMWI?Ndiyo, baada ya muda fulani kila mtu mwenye virusi vya UKIMWI ataanza kuugua UKIMWI. Lakini muda kati ya kuambukizwa Virusi na kuanza kuugua unatofautiana.Wengine wanaishi muda mrefu zaidi. Kwa wastani watu wazee wazima wanaishi kwa miaka 10 kabla ya kupata dalili za awali. Watoto wanaopata virusi kabla ya umri wa miaka mitano na kwa wastani waendelea kiishi mwaka mmoja hadi mitatu. Hakuna jibu la ujumla la ni miaka mingapi ataishi tena mtu aliyeambukizwa virusi vya UKIMWI. Idadi ya miaka ya kuishi baada ya kuambukizwa inategemea vitu vingi, kama kinga asilia inayo mkinga mtu, hali ya lishe mwilini, idadi ya virusi vilivyoingia mwilini, kujikinga na kutibu mapema na kwa ukamilifu maradhi mengine mara tu yanapojitokeza. Je, mtu mwenye kuonekana na afya nzuri, anaweza kuwa na virusi vya UKIMWI?Ndiyo, mtu anayeonekana na afya nzuri anaweza kuwa na virusi vya UKIMWI. Katika hatua ya mwanzo baada ya kuambukizwa mtu anaweza kuwa na virusi vya UKIMWI kwenye damu lakini haonyeshi dalili zozote za kuumwa. Hatua hii inaweza kuchukua zaidi ya miaka 10, hii ni hatari sana kwa sababu kama unajamiiana na mtu mwenye kuonekana na afya nzuri, lakini ndani ya mwili tayari anavyo virusi vya UKIMWI, anaweza kukuambukiza. Siyo rahisi kumtambua mtu mwenye virusi vya UKIMWI, hasa akiwa katika hatua ya mwanzo ya baada ya kuambukizwa. Ni kwa njia ya kupima damu kwenye kliniki tu,unaweza kuwa na uhakika kama ameshaambukizwa au la. Kwa hiyo kujamiiana bila kujikinga kwa kutumia kondomu inawezekana kuhatarisha maisha yako, hata kama mpenzi wako ni mtu mwenye kuonekana na afya nzuri. Je, dalili za kuugua UKIMWI ni zipi?Baada ya virusi vya UKIMWI kuangamiza walinzi wa mwili, yaani chembe chembe hai nyeupe za damu, uwezo wa mwili kupambana na magonjwa hupungua. Ina maana kwamba magonjwa mengine yanaweza kuushambulia na mwili kutoweza kujilinda. Mara nyingi mtu anapungua sana uzito, anapatwa na homa za mara kwa mara, anaweza kuharisha mfululizo au anaweza kuwa na vidonda sehemu za siri au midomoni. Lakini ukipata dalili moja kati ya hizi, usiamue mara moja kwamba umepata UKIMWI. Yapo magonjwa mengi yanayoonyesha dalili sawa sawa na hizi. Unashauriwa kumwona daktari ambaye atakupa ufafanuzi wa kitaalamu. Je, ni tabia zipi zinazochangia kuenea kwa virusi vya UKIMWI?Virusi vya UKIMWI kwa kiasi kikubwa vinaenea kwa njia ya kujamiiana. Mtu akiwa na wapenzi wengi, uwezekano wa kuambukizwa unaongezeka, kwasababu kila mpenzi anaweza kuwa chanzo cha kupata virusi.Vilevile mtu akifanya mapenzi yasiyo salama, yaani kuingiliana kimwili (ukeni au sehemu ya haja kubwa) bila kutumia kondomu anahatarisha masiha yake. Pia kuchelewa kutibu magonjwa mengine ya zinaa, kunachangia kuenea kwa virusi vya UKIMWI. Kwa mfano kama mtu anaugua ugonjwa wa zinaa, vijidudu vya UKIMWI vinaweza kuingia mwilini kwa urahisi zaidi kwa sababu ya vidonda sehemu zake za siri.Matumizi ya madawa ya kulevya pamoja na pombe yanaweza kuchangia kufanya maamuzi yasiyo sahihi katika matendo ya ngono. Je, mwanaume akitoa uume nje ya uke kabla ya kumwaga shahawa anaweza kuambukizwa UKIMWI na anaweza kumwambukiza mwenzie?Ndiyo, hata akitoa uume nje ya uke kabla ya kumwaga shahawa anaweza kumwambukiza UKIMWI mwenzie. Ni hatari kwa mwanamke na pia kwa mwanaume, kwa sababu vijidudu vimo ndani ya majimaji ukeni na uumeni. Hasa kama mmoja ana vidonda au michubuko midogo sehemu za siri, UKIMWI unaenea kwa urahisi.Kutoa uume nje ya uke kabla ya kumwaga shahawa siyo njia salama ya kujikinga na UKIMWI. Je, nikijamiiana kwa njia ya sehemu ya haja kubwa au mdomoni na mtu mwenye virusi vya UKIMWI, nitaambukizwa virusi hivyo?Ndiyo, kuna hatari kubwa ya kuambukizwa UKIMWI wakati wa kujamiiana kwa njia ya haja kubwa au mdomoni na mwenye virusi vya UKIMWI.Ngozi ya ndani ya haja kubwa ni laini sana na uwezekano wa kupata michubuko wakati wa kujamiiana ni mkubwa, kwa sababu hakuna majimaji kama ukeni yanayorahisisha uume kuingia. Kwa virusi vya UKIMWI ni rahisi sana kuingia mwilini mwa mwanamke kupitia kwenye michubuko.Vile vile mwanaume anaweza kuambukizwa kama damu kutoka kwenye michubuko ya mwanamke inagusana na mwili wake. Kwa hiyo ni hatari kwa wote wawili kuambukizana. Watu wote wanashauriwa kutotumia njia hizi za kujamiiana, ila watumie kondomu kwa kuzuia kuambukizwa magonjwa ya zinaa, pamoja na UKIMWI.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

DAWA YA MAAJABU INAYO TIBU KUPOOZA YAPATIKANA.

JE, UNA DALILI HIZI? (Kushindwa kurudia tendo la ndoa)