DAWA YA MAAJABU INAYO TIBU KUPOOZA YAPATIKANA.


Tiba ya maajabu inayotibu wanamichezo

Na Mwandishi Wetu

KWA muda mrefu tiba mbadala ilikuwa ikipewa kisogo au kuonekana kama ya watu fulani ambao hawakwenda shule na wanaoamini mno katika mambo ya ushirikina.

Lakini mabadiliko ya sayansi na teknolojia, pamoja na chunguzi mbalimbali za mabingwa wa syansi,bado magonjwa kadhaa yameshindwa kupata suluhisho la kudumu.

Wengi wameishia kujikuta wanapata ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha, kutokana tu, tiba za kisasa kushindwa kuwapa ufumbuzi zaidi ya kuambiwa wasubiri miujiza tu kwa kupona kwao.

Tumeshuhudia pia kwa sasa ugonjwa wa kupooza ukiwa ni tatizo kubwa mno na awali ulionekana ugonjwa huu kama unawapata watu wenye umri mkubwa au wale ambao hawazingatii mazoezi.

Mambo yamekuwa kinyume chake na kuna wanamichezo kadhaa maarufu nchini, ambao wameishia kutembea kwa kusaidiwa kutokana na kukabiliwa na ugonjwa huo.

Hapa kati tulishuhudia viongozi mbalimbali na wananchi wa kawaida wakikimbilia Loliondo, kwa ajili ya kupata tiba ya kikombe. Hii ni kuonyesha tiba mbadala ni tiba sahihi zaidi kwa sasa.

Mmoja kati ya wanamichezo, ambaye hakuamini macho yake pale alipokabiliana na ugonjwa wa kupooza kwa muda wa miaka 10 na sasa kupona ni John Raphael. Kwa sasa mwanamichezo huyu wa zamani anaishi Newala, Mtwara.

Wakati huo akiichezea timu ya Karume Rangers iliyopo Masasi, alijikuta akianza kuona dalili za mwili wake kupatwa na baridi na hiyo ilikuwa ni mwaka 2001.

"Kitu cha kwanza nilichofanya niliamua kukimbilia Hospitali ya Ndanda, iliyopo Masasi ambapo bada ya vipimo mbalimbali nikaambiwa nina dalili zakupata ugonjwa wa kupooza.

"Kuna dawa fulani wakanipa na wakaniambia nifanye mno mazoezi, lakini nakumbuka Novemba, mwaka huo nilipoamka asubuhi nilishindwa kuinuka.

"Mwili wangu wote ulikuwa auhisi chochote kile, ndugu zangu wakalazimika kunibeba na kunirudisha hospitali tena, hapo nikaambiwa nimepooza kabisa.

"Nikaambiwa nifanye sana mazoezi, lakini bado haikusaidia na nikatumia sana majani fulani ya kuchemsha halafu unapakwa, lakini mambo yakaendelea kuwa magumu zaidi," anasema.

Raphael anasema, siku moja alisikia habari za mganga wa tiba mbadala, Dk. Kihembe ambaye ofisi zake zipo Kawe, Dar es Salaam na kuamua kwendakujaribu bahati yake huko.

"Niliwalazimisha ndugu zangu na wakanibeba kutoka Newala hadi Kawe kwa Dk. Kihembe nashangaa kwa muda wa wiki moja tu toka nianze kutumia dawa zake, nikaona ubaridi unaanza kuondoka, huku nikianza kutembea mwenyewe bila kusaidiwa.

"Yaani kwa sasa ndivyo kama hivi unavyoniona, natembea mwenyewe bila tatizo na natamani sana kuanza kucheza mpira, Mungu ambariki zaidi daktari huyu," alisema.

Alipoulizwa Dk. Kihembe alisema mgonjwa wake huyo alikujaakiwa hoi, lakini anashukuru dawa zake zimefanya kazi na kulimaliza tatizo lililokuwa linamkabili.

"Unajua kwa sasa ugonjwa wa kiharusi umeongezeka mno na umewakumba watu wa aina mbalimbali, kuanzia watoto hadi wakubwa na utashangaa hata wanamichezo nao wanakabiliwa na ugonjwa huo.

"Tatizo hili linasababishwa na kuganda kwa damu mwilini kunakosababishwa na kuganda kwa mafuta kwenye mifupa ya damu na kwamba hali hiyo husababisha damu kushindwa kuzunguka katikamfumo wake," alisema.

Dk. Kihembe alisema amefanikiwa kuwatibu wagonjwa kadhaa na kujikuta akipewa zawadi za kila aina, ikiwemo mgonjwa huyo kumpatia gari.

Tunampa hongera Dk. Kihembe kwa mafanikio hayo na kutokana na hilo ni vema wananchi wakawasiliana naye kwa simu na; 0716 096205 kwa matibabu na ushauri au fika katika kliniki yake iliyopo Kawe Mtaa wa Ghuba au tembelea www.kihembehebalist.blogspot.com.

Comments

  1. hebu dk nisaidie nina motto wangu miezi 3 iliopita alikosewa kupigwa sindano badala yake ikamsababishia kupooza mguu wa kulia nimehangaika kufanya nae mazoezi katika klinic mbalimbali hapa dar na nikafanyikiwa mguu wake ukaanza kupata mawasiliano na kubakisha sehemu ya kifundo cha mguu ila baadhi ya vidole vyote vinafanya kazi ila mguu wake anashindwa kuvaa hata kandambili je akitumia dawa yako atapona kabisa na ile hali ya kupooza itakwisha kwa kipindi gani

    ReplyDelete
  2. Habar doktA nina mzazi wangu kapooza upande mmoja yaan mguu na mkono wa kushoto ipi tiba ?

    ReplyDelete
  3. Habr dokta nina mzaz wangu kapooza upande mmoja wa mwili ioi tiba yake.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

DAWA BORA YA KUONGEZA CD4 YAPATIKANA

JE, UNA DALILI HIZI? (Kushindwa kurudia tendo la ndoa)